August 27, 2008

Pekupeku

Ndiyo sijaiba wala sikuruhusiwa kuitumia picha hii lakini imenikumbusha mbali sana. Kaka yangu Mbilinyi kaanza mazoezi ya kutembea pekupeku,yaani wakati ule ukijifanya unavaa kandambili basi huonekana ufahari sana. jamani kutembea pekupeku hapa nyasa ni kama utamduni na maisha yenyewe lakini tunaulamba suti nakadhalika

1 comment:

  1. pekupeku kama ulivyosema mtu ukipata kandambili(ndala za matairi ya gari) mmh kazi kweli kweli huu mwendo utakaodunda sio wa kawaida. Ila kama hapa sweden wakti wa joto watu wao wanaona raha sana kutembea pekupeku inakuwa kama sherehe.

    ReplyDelete

Maoni yako