August 28, 2008

Mv Ilala kazini

ukija mbamba bay unaweza kwenda Malawi kwa kutumia meli hii hata kama una mizigo mikubwa kiasi gani.Kwa ile Mv Mtendele inashindwa kutia nanga shauri ya bandari yetu mbamba bay ni ndogo

2 comments:

  1. nikitaka kwenda mbeya nitaenda na meli gani

    ReplyDelete
  2. Siku ya kwenda Likoma nitapanda hiyo.

    ReplyDelete

Maoni yako