August 28, 2008

Karibuni nyasa

jionee fahari,nyasa nakupenda sana. kuna yeyote ana hoja kwamba hii siyo hali halilisi ya nyasa?jieleze

2 comments:

  1. kwa kweli sio uwongo kunapendeza sana. Je? hizi meli(mitumbwi) wanangoja samaki(wanakongótea?

    ReplyDelete
  2. Kuweme chomene (Kuzuri sana).

    Mama Malaika

    ReplyDelete

Maoni yako