August 28, 2008

kumbukumbu tena

Nilikwisha kueleza kwamba kipindi hiki siyo kizuri kwa wale wasiozoea usafiri wa meli shauri ya dhoruba kali. Sasa kuna dhoruba ambayo kwa wale wasoizoea wanaweza kujikuta akisafiri kama yupo rumande. Dhoruba ni kali sana kipindi hiki hadi mwishoni mwa mwezi septemba kwahiyo wanaweza kutumia magari kwa barabara za Mbamba bay au ile ya jijini Mbeya

1 comment:

  1. Asante kwa taarifa hii nzuri kwani kesho nilikuwa nataka niende kumsalia mama mdogo anaishi Mbeya

    ReplyDelete

Maoni yako