August 31, 2008

hata mkibisha lakini tunavyo hivi

sina hakika kama kweli tunavifahamu hivi viti lakini kwetu tunaita HINGOLOMBI/VINGOLOMBI yaani hata wale waliodhani havina maana walianza kuibeza picha lakini nikasema poa mimi siviachi katu.Vipo vingi sana huku nyasa,nakumbuka maiaka ya nyuma tulitumi kama vijiko kwa ajili ya uji. Mambo yalikuwa bomba sana yaani nikivitazama vinanikumbusha mbali sana hata kama nina umri mdogo.

1 comment:

  1. unajua hivyo vinaweza kutumika kwa kutengenezea mikanda, heleni pia hizi tunazovaa shingoni safi sana ni utamaduni.

    ReplyDelete

Maoni yako