September 14, 2008

hata hivi pia inawezekana

wanyasa ni mafundi wa kufinyanga vyungu kama hivi, karibuni sana bei ni poa kabisa wala msijali sana

3 comments:

  1. naona umetembele mpaka matema beach. umesema bei poa lakini hujasema kimoja bei gani?

    ReplyDelete
  2. Apo pa Kyela?

    ReplyDelete

Maoni yako