September 13, 2008

wanyasa hamniamini......simwogopi Yasinta

Hebu nicheki, vazi nilipendalo la Taifa(jezi ya taifa), yaani kila kona mnanicheki mimi sijui nimewavutia kwa hilo pozi kwani hapo ni mapumziko ya mchana wa leo. mazoezi ni katika jua kali pumzi mithiri ya mamba/ling'wina

1 comment:

  1. jamani wivu mzuri angalieni na yeye mpaka kanunua T-shirt kama sisi. mmh kazi kweli

    ReplyDelete

Maoni yako