13 September 2008

Erick hebu nicheki mnyasa kwanza

nimeweka picha za aina moja.nimefanya makusudi ili wapinzani wangu wapate ghadhabu na kuongeza juhudi au vipi...hakuna cha Bolt wala Powell au Gebrisellasie hapa

1 comment:

  1. haya Markus tutaonana London 2012. tuone nani atakuweza. Ila umependeza na hizo nguo zako je huwezi kunutumia nami kwani ile yangu imekuwa ndogo

    ReplyDelete

Maoni yako