October 14, 2008

wamatengo hamyambu yambu

6 comments:

  1. sisi hapa Kihangimauka hatujambo kabisa sijui wewe kwa sasa tunajiandaa na kulima si unajua sisi tunakula kweli uwale na chikunde.

    ReplyDelete
  2. weweeeee acha nyie wala siyo kihangamahuka bali kumpitimbi na kukingoli hamyambu? na kule mgazini,mhukuru,litabwasi,na huko madongo kuinama hawajambo maana kwingine hakuna hata majina

    ReplyDelete
  3. Basi wa masimavalafu wanatoa salam maana umewasahau

    ReplyDelete
  4. kumdunduwalo, ngingama,ruanda,lwilo,fokulendi,mgazini,kingoli,matiri, na huko wapi sijui mmm hawajambo

    ReplyDelete
  5. labda nyasa! hakuna samaki siku hizi

    ReplyDelete
  6. weeeeeeeeeeeeeeeeeeee hakuna samaki nani kakwambia porojo hizo, na mshindwe mlege lege lege lege kama mlenda hakika hivi. sema unataka samaki aina gani maana huku hakuna samaki NCHANGA kama ndugu zetu kule tunduru na mtwara

    ReplyDelete

Maoni yako