October 14, 2008

kama ninge...... kama ningekuwa Nabii Mwalimu Nyerere

wale wanaoabudu dini zao wana manabii wao. Nami sioni soni kukuita Nabii wa kweli kwa imani ya kiafrika wala iyo wale waliozaliwa mashariki ya kati. Mungu wetu yu pamoja nawe. kama ningekuwa wewe .........

4 comments:

 1. kwa kweli hakuna atakaye msahau baba yetu wa Taifa na pia Raisi wetu wa kwanza. Unafikiri kuna mmoja yupo kama yeye?

  ReplyDelete
 2. kwasasa hauypo ila huenda yupo miongoni mwetu. unajua watu kama hawa huwa wanazaliwa upya kwa watu wengine. unabisha? anza kuifuatilia historia ya Abraham Linclon na John F Kennedy wa Marekani. hawa ni marais ambao wanafana kwa mengi. Yaani inaaminika Lincoln aliyekufa lakini miaka 100 baadaye kazaliwa kama Jonh F kennedy. ukweli naamini kuna Julius k Nyerere mwingine kama hajazaliwa basi atazaliwa lakini siyo vibaka waliopo sasa

  ReplyDelete
 3. Labda naamini kidogo kuwa anaweza akazaliwa au ameshazaliwa kama yeye lakini hatakuwa sawa kabisa kama alivyokuwa Mwl. Pia naamini hapa duniani tupo wawiliwawili

  ReplyDelete
 4. amini nakwambia atakuwa kama yeye labda maeneo ya kuzaliwa huko

  ReplyDelete

Maoni yako