October 15, 2008

kunyamba mwengaa/ uzuri jamani

6 comments:

 1. kutokayi kujova/acha kusema. miyi gilola/macho yanaona. Napenda sana kunavyometameta

  ReplyDelete
 2. karaibu karibu karibu lakini bila pombe sawa?

  ReplyDelete
 3. basi bwana nimebadili mawazo siji ngó. ila we karibu Ruhuwiko

  ReplyDelete
 4. jamani kwani bila pombe huishi. aa ha ha ha BI. CHAPOMBE na BA. CHAPOMBE kaka Simon mataka sana pombe, yaani lengo letu mje mnywe komoni na ulanzi huku kwahiyo marufuku kuharibu soko letu.
  karibu tu

  ReplyDelete
 5. tukija basi tutabeba na pombe zetu kwenye bege. ha ha ha ha

  ReplyDelete
 6. bora tu usije na hizo pombe ukikamatwa usinilaumu mimi, miye simo

  ReplyDelete

Maoni yako