November 20, 2008

Mwl Klayson karibu sana Nyasa


Nasema sana KARIBU NYASA

5 comments:

 1. Mwl Klayson karibu sana nyasa. nakukaribisha sana. wala usikonde mambo swadakta kabisa. KARIBU sana

  ReplyDelete
 2. Huyo mwl Klayson wako umempata wapi? na unataka huko nyasa aje kutalii na kuogelea au unataka nini?

  ReplyDelete
 3. we vipi anakuhusu? pengine uungwana ni vitendo. huoni blo giii ni watu wote anawakaribisha. kama vipi umechuki mwambie mwenye blogu aifute kabisa maana naona inaleta uhasama na machafuko

  ReplyDelete
 4. Asante, tutaonana kwenye hoteli gani?

  ReplyDelete
 5. Nyasa hatuna hoteli, tunakukaribisha kuvua samaki usiku kucha ndiyo usingizi wetu ulipo wala usihofu.

  ReplyDelete

Maoni yako