November 27, 2008

unapofurahia kunywa, ujue na kushughulika

naam mambo shughuli za kulima kahawa. hapo ni suala la kukausha si mnajua tunakausha kwa njia za asili au mnafanyaje ninyi.

6 comments:

 1. Ntwe ayino hela hela halalafu chai ya kawa ntwe tamu kweli karibuni tunywe

  ReplyDelete
 2. Unaweza kushughulikia kahawa na kunywa pombe lakini:-)
  Yasinta Upo?

  ReplyDelete
 3. Nipo kaka Simoni je? upo tayari kwani leo myakaya umenoga kweli:-)

  ReplyDelete
 4. Hapa Sweden tunakunywa kahawa sana kuliko nchi nyingine," Top 10", duniani. Je NeoCounter utaweka lini?

  ReplyDelete
 5. Mkuu asante kunitembelea. NeoCounter naona mambo yamekaa vema sasa, nashkuru kwa kunikumbusha hilo. HONGERENI kwa kunywa kahawa sana maana ni zaidi ya raha na utamu. KARIBUNI MBINGA mnywe kahawa zaidi na zaidi kwani kiwanda kile sasa kinafanya shughuli zote pale tofauti na wali kilipokuwa na kazi ya kusaga tu. sasa mambo SWADAKTA.

  ReplyDelete
 6. Waone walevi wanakumbushana Pombe. Yaani dada Yasinta na ka Simon ni pombe tu ha ha ha ha ha ninyi mtakufa hai hakika hivi

  ReplyDelete

Maoni yako