November 26, 2008

ndizi ndizi KAPOLOTA karibu sana

wale walaji wa ndizi KAPOLOTA karibuni. Dada Yasinta huko ughaibuni unazikumbuka hizi

6 comments:

 1. hakuna ndizi tamu kama KAPOLOTA ee bwana we mwaka jana nilizila kweli yaani hapo uninogisi kweli ndawa ya kiki ukita naaaaaaaaa

  ReplyDelete
 2. hizi ndizo raha za nyasa au ubaisha? lakini usilete bia hapa

  ReplyDelete
 3. Bia na kapolota poa au myakaya ibesa mayu

  ReplyDelete
 4. Marcus,
  Hizi ndizi ulizotundika hapa zimenipa hasira jana nimekwenda kununua ndizi mbivu nimekula kwa mfululizo matokeo yake nimevimbirwa na bado nyingine zipo mezani zinanitizama, subiri kwanza nikameze magadi soda. Sitanii! Nimenunua kutokana na picha. Ah, umenipata kisawasawa!

  ReplyDelete
 5. kumbe tupo wengi ambao ni wepenzi wa NDIZI!

  ReplyDelete
 6. Dada Subi ha ha ha ha ha ha ha ha umevimbiwa ebu tuone kidogo! ebu tuone kama tumbo limejaa sana ebu funua kidogo aaaaah natania jamani ha ha ha ha pole mkuu usijali sana nidyo mambo haya

  ReplyDelete

Maoni yako