April 05, 2013

WANAFUNZI SHULE YA MSINGI KWAMBE WAPEWA CHAKULA CHA MCHANA


WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KWAMBE WILAYA YA NYASA WAKIPATA MLO WA MCHANA SHULENI HAPO,JITIHADA ZA AFISA ELIMU NDUGU MATHIAS MKALI KUPUNGUZA UTORO MASHULENI KWA KUANZISHA SHULE ZOTE WILAYANI MBINGA ZITOE CHAKULA CHA MCHANA.HONGERA KWA NYANJA BOY HUYO

3 comments:

  1. Kwambe..nimekumbuka mengi kuhusu kijiji hiki..kweli nyumbani ni nyumbani..HONGERA SANA kwa kupata chakula shuleni ni jambo la maana sana tena sana ambalo wengine tumelilia sana wakati ule ....

    ReplyDelete
  2. Halafu wewe..
    Uli[potelea wapi kijana....

    ReplyDelete

Maoni yako