December 08, 2008

kazi+juhudi+ubunifu+mapenzi=MAISHA

maisha tu haya kama utapenda nunua tu utakuwa umenisaidia sana maana mwanangu namsomesha kwa kutegemea hii kazi yangu. Nahiheshimu sana. Ni kama anasema hivyo

2 comments:

  1. Nafikiri anasema hivyo. Mpaka raha jinsi utamaduni wetu ulivyo.

    ReplyDelete

Maoni yako