December 06, 2008

njoo unangoja nini, mwenzio nafaidi

wageni tu jamani hata wenyeji poa karibuni. haya mwangalie na huyu naye

5 comments:

 1. jamani kama mlidhani natania basi oneni wenyewe nimeirudisha kumbukumbu hii tena

  ReplyDelete
 2. Mpangala,

  Bado natafakari maana.

  ReplyDelete
 3. Mpangala hapo wapi? Kama siyo Matema beach?

  ReplyDelete
 4. Ndiyo ni MATEMA BEACH! hoooo kwani siyo nyasa ha ha ha lakini kweli halafu hawa jamaa yaani huyu dada, mumewe na mtoto wao walikuwa washamba sana.
  kak Mtanga umepatia hawa ni wale jamaa zangu wa whitelock wakajifanya kufanya tour fulani hivi afrika

  ReplyDelete
 5. Bwaya vipi unatafakari unaogopa kukabwa kabali au ha ha ha ha maana kama michuzi walimwibia password ya blogu sembeuse kuiba picha yako hapo loooooooo ha ha ha mambo haya

  ReplyDelete

Maoni yako