December 03, 2008

nimeirejesha tena hii kumbukumbu


nimeipenda hii picha, sijui labda naifikiria sana na kuyaelewa mazingira yetu ya hapa nyasa. Lakini kuna jambo nalifikiria kuhusu mazingira haya na nyuso za wavuvi wenzngu.Waangalie vema unaelewa nini??

3 comments:

  1. Markus mambo vp?
    Hapo hakuna cha unaelewa nini, hapo rafiki yangu si useme tu ukweli kuwa mlikuwa mnashangaa shangaa baada ya kuambulia patupu mlipokuwa mkivua.
    Ndo tatizo la kwenda kuvua mkiwa mmetanguliza mipombe yenu ya kienyeji.
    Best kumbe unajua kuvua? Karibu kwetu Ilembula ukageme ulanzi.
    Alamsiki.

    ReplyDelete
  2. Nakubaliana na Fadhy hapa walikuwa wamekunya ugimbi wamahela. pia walikuwa hawajawahi kupigwa picha kwa hiyo walikuwa wanashangaa.

    Halafu hizo nyavu walisahau kuchona zina mashimo. eeh nisiseme mengi kwani usije ukanishtaki bure

    ReplyDelete
  3. aAAAAAH hii ya kugema ulanzi yupo mtaalamu wetu dada YASINTA yeye ni bingwa wa mabingwa muulize habari za MBETA ZA ULANZI yaani hapo ni funga mwaka nashangaa ananisme tu mimi ha ha ha ha. Ila kweli kupigwa picha ilikuwa inashngaza, si uanjua huku kwetu Wamisionari ndiyo tunawaona kama mungu bwana? bwana ULANZI ni dada Yasinta angalia blogu yake kuna MAULANZI ni noma kaka Fadhy ebu zama uone mi siteti hapa huyu dada ni Mtaalamu wa kugema na Lumbesa nabeba lwa ulanzi bambu mwengaaaaa

    ReplyDelete

Maoni yako