Tangaza Biashara yako. Tunakaribisha Matangazo ya aina mbalimbali. Mawasiliano zaidi piga simu namba +255 628994409 au +255 692 555 874

December 25, 2008

wanablogu karibuni ndani

aaah si mmezoea kwenda disko, gesti ******, baa, kilabuni na mambo kadhaa kuhusu raha zetu? jamani siye tunawakaribisha hapa, ndiyop starehe zetu hizi na kipindi hiki cha sherehe za kila mwaka. wanashajara za mtandaoni karibuni ndani. Lakini kama huwezi sema tukusaidie

3 comments:

  1. Hapo mimi siji nisije nikazama bure!:-) Nitasubiri tu ufukweni muinjoi nikigegeda togwa yenye konyagi kwa mbaaali!

    ReplyDelete
  2. hapo Simon umesema nadhani mimi nitakuunga mkono:)

    ReplyDelete
  3. Wajameni, Krismas imekwisha, nimerudi mzigoni, nimemaliza shamrashamra na majukumu na kila kitu. Ila sikutembelea fukwe kama ya hii ya kaka.

    ReplyDelete

Maoni yako