February 03, 2009

wale wasomi wetu vipi,inapendeza eeehee!!!

Vipi waungwana mwadhani nimepotea kilingeni kwangu? Duh1 nipo nipo sana, yaani nipo nipo kama vile ujuavyo nipo1 Lakini sijui unaonaje hii kitu, au nisme unaonaje haya maudhui ya picha. Haya weeeeee!!!

1 comment:

  1. Kaka inasikitisha.

    Inasikitisha. Inasikitisha. Unategemea nini kwa mazingira ya namna hii kama sio usomi na ujinga kubeba maana inayofanana?

    ReplyDelete

Maoni yako