March 28, 2010

MSHINDI WA SHINDANO NI.......

Nilipoweka shindano la kutambua mtu mwenye tabia ambaye anafanana na neno MKUU WA POSTA, hatimaye binadamu mmoja tu amefanikiwa kuvumbua kwa kiasi fulani na kwenda katika uhalisia.

Hatimaye Mtakatifu Mungu wa Wapare mzee wa Wazo na Falsafa ndani ya Neno Ndiye mshindi wetu.

Ni kweli yeye ametaja neno KIRUKA NJIA ambalo linamwelekeo uleule wa tabia ya mtu malaya. Sasa hili neno MKUU WA POSTA ni mtu wa aina hiyo yaani akiona demu/dume anashughulikia/kushughulikiwa. Lakini linamaana ya umalaya wa jinsia mbili ya kike.kiume.

MKUU WA POSTA yaani mtu wa brand New kila kidemu/kidume kipya anatekenywa kwa **** na ****. ha ha ha ipo kazi kweli....

ZAWADI NONO
Suala zawadi sasa naomba kuitangaza kuwa inabidi kutia akili kidogo ili nikipatie zawadi yenyewe ndugu mshindi.

Na kwa faida ya wasomaji naomba sasa nitangaze zawadi ni kupitia falsafa hii FARAGHA. Kwa hiyo hiyo ndiyo zawadi yangu namba moja.

Zawadi ya pili ni hii hapa MWANAUME. Nina uhakika itakuwa zawadi tamu kwa wasoamji, na fahari kwa mshindi kwakuwa zawadi inatokana na yeye mwenyewe.

Zawadi ya tatu inasemekana ni chaguo la mwisho, lakini kwangu mimi natoa zawadi hii kuwa tamu ya tamutamu kama zawadi zingine, ni hii hapa MAARUFU. Ni zawadi bomba yenye sepetu la maujanja saplayaz.
Zwadi nyingine ni hii hapa NJOO. Na bado naendelea kukutwangia zwadi nono kwakuwa mshindi wetu anahitaji kukupa falsafa nene lakini kama mvivu a.k.a mvuvi kinyume, ongeza na hii hapa UCHAFU.

Inatosha basi. Msinikong'oli kwa kunuka domo... hizo ndo zawadi kiduchu tu

No comments:

Post a Comment

Maoni yako