August 20, 2010

Viongozi wa TUCTA kugombea Urais 2015 na 2020?

James Oliver Robertson, alipata kuandika hivi; ‘msingi wa kutafuta maisha na furaha kunataka mtu abadilike na wale wasiofanya hivyo wanabakia watu wa kusikitisha na kusikitikiwa,kuchekwa na kubezwa’(mwisho wa kunukuu).
Je usemi huu utatimia kwa uongozi wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini? Tujiulize swali hilo huku tukitambua kuwa waraka wa mkuu wa utumishi wa umma namba 1 wa mwaka 2000 na kanuni ya 65(1) ya kanuni za utumishi wa umma za mwaka 2003, watumishi wa umma hawaruhusiwi kufanya shughuli za siasa wakati wa saa za kazi na wakiwa kazini na kuajiriwa na chama cha siasa.
Isome Makala nzima, USIPITWE

1 comment:

  1. USHAHIDI UPO BAADHIYA WAFANYAKAZI WA UMMA NI MAKADA WANAOJISHULISHA NA SHUGHULI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI WARAKA HUO UNAMBANA WATUMISHI WENYE MAPENZI NA VYAMA VYA UPINZANI TU.BY CHACHA MKIRYA

    ReplyDelete

Maoni yako