August 23, 2010

ANGALIA BONGO- anuani imebadilika

Kwa wale wapenzi wa blog ya dada Saraphina Peter, bila shaka mnampata vema. Kwangu mimi namnyaka vizuri tuuuuu. Sasa ANUANI ya Blog hiyo imebadilika. Zamani ulijua kufungua HIVI lakini kwa taarifa hapo hutaipata.
ANUANI mpya ambayo unapaswa kuisopma Blog yako ya Angalia Bongo uipendayo, BASI unatakiwa kuisoma HIVI hapa ndipo ANUNUANI sahihi.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako