Tunatoa pole kwa ndugu,
jamaa, na marafiki wote walio kumbwa na kuanguka kwa jengo lenye gorofa 14
(Mtaa wa Morogoro, Dar-es-salaam) kwa namna moja au nyingine. Inasikitisha sana
kwani vifo vingi vimetokea.
Mtaa wa Mosque katikati ya jiji la Dar es salaam
BADO WATU WAPO ENEO LA TUKIO WAKIWEMO VIONGOZI WAKUBWA WA
MKOA;ASILIMIA KUBWA YA WATU WAMEOKOLEWA HUKU VIFAA DUNI VYA UOKOAJI
VIKIKWAMISHA KAZO HIYO;WATU KADHAA WANAHOFIWA KUFA JAPOKUWA SINA IDADI KAMILI
MAONI YA MHANDISI EGBART JEREMY KATIKA UKURASA WANGU WA FACEBOOK
anasema, matatizo kama haya yanachangiwa na ....
COLUM ZIMEFELI TATIZO LA WAKANDARASI ,NA WAMILIKI UNAWEZA
KUKUTA KUNA KIBAO CHA KUTAMBULISHA KAMPUNI INAYOJENGA LAKINI KAMPUNI HAIPO WALA
WATAALAM NI KIBAO TU KIPO LAKINI UJENZI UNAFANYWA NA MMILIKI WA JENGO. NI
TANZANIA ZAIDI UIJUAVYO...... anaendelea kusema ....
NILIKUWA NAANGALIA KWENYE TV YA CHANEL TEN JINSI LILIVYO
POROMOKA LIMESHUKA LOTE NIKAGUNDUA KUWA COLUMN ZIMEFELI KUBEBA MZIGO MZITO
Ni Jengo la NHC sio la Sabodo!
ReplyDeleteTatizo linaweza kusababishwa pia na kufeli kwa msingi wenyewe unaotegemewa kuubeba huo mzigo wote na hii ni uwezo wa udongo kuhimili mzigo, Column zinasaidia kupeleka mzigo hukoo chini japo na zenyewe zinatakiwa kuwa imara. Majengo mengi nchini hujengwa bila kuzingatia uwezo wa udongo. Wengi hawafanyi utafiti wa udongo kabla ya ujenzi na wataalamu wanasema " Without site investigation Ground is Hazard" Ndo hiyo Hazard mumeiona jana .....
ReplyDeleteIt's an awesome piece of writing designed for all the online viewers; they will take benefit from it I am sure.
ReplyDeleteLook at my blog post: bankruptcy florida
Jengo hili linamilikiwa kwa ubia kati ya NHC na kampuni ya M/S LADHA CONSTRUCTION. Sasa kusema jengo la Sabodo ni kuacha tu kuitaja kampuni hiyo na umiliki wake. NHC inamiliki hisa 25% tu na inayobaki ni ya Sabodo
ReplyDelete