August 24, 2014

TAARIFA KWA WAKAZI WA WILAYA YA NYASANAPENDA KUWAPA TAARIFA HASA WALE AMBAO 2MEMALZA ELIMU YA FORM 6 NA TUKO NYUMBANI, KWAMBA KUNA NAFASI YA CHUO CHA UALIMU NGAZI YA DIPLOMA KATIKA CHUO CHA KIUMA KANISA LA UPENDO MASIHI ILIYOKO TUNDURU.

HIVYO BASI KAMA UNAHITAJ NAFASI TUWASILIANE ILI NIKUPATIE MAELEKEZO.CHUO NDO KINAANZISHWA NA KITAFUNGULIWA MWEZI WA 9. NAFASI ZIPO.KWA MAWASILIANO ZAIDI NIPIGIE KWA 07553105540.

AHSANTENI

© Imetolewa na Saddie Phiri

No comments:

Post a Comment

Maoni yako