October 06, 2017
SOMO LA LEO; SHERIA
Kifungu cha 6(1)(h) cha Sheria ya Tume ya Haki za Binadamu
na Utawala Bora, Nam 7/2001 kinaipa mamlaka na uwezo Tume kukagua Magereza
(pamoja na Vyuo vya Mafunzo) na sehemu ambazo watu wanazuiliwa kwa mujibu wa
sheria ili kufanya tathmini na kukagua hali ya haki za watu wanaozuiliwa humo
na hatimae kutoa mapendekezo yatakayotatua au kuondoa matatizo yatakayoonekana.
Madhumuni
Sheria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Maoni yako