November 13, 2017

MILIMA NA MABONDE YA MATOGORO KIVUTO CHA UTALII


Katika eneo hilo lililopo kusini mwa mji wa Songea, kuna bonde kubwa kabla ya kuufikia mlima huo. Ni eneo ambalo linavutia watalii. Mtu yeyote akipanda mlima wa Matogoro anaweza kutazama mji wa Songea ukiwa chini yake. 

 
Ni eneo lilouonyesha mji wote wa Songea kwa ufasaha. Eneo ambalo linavutia kwa hewa sawa, na mandhari mazuri. Kwa hakika utalii wa ndani katika mkoa Ruvuma ni kitu kizuri na taswira ya dhahiri kuwa mkoa huo umejaliwa vivutio vingi vya utalii. 
Karibuni Nyasa. Karibuni Songea. Karibuni Ruvuma.

Picha kwa hisani ya Raymond Ndomba, Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Mtakatifu James, Songea.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako