December 06, 2017

MAZOEZI YA KIJESHI KUFANYIKA NCHINI

Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa mazoezi ya siku 14 ya pamoja ya makamanda wa kijeshi wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki yanakayojikita katika kupambana na matukio ya ugaidi. Mazoezi  yatafanyika katika kituo cha ulinzi wa amani cha jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ Kunduchi jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako