December 01, 2017

SAIDA KAROLI NA MHARIRI WA BLOGU HII


Wakati fulani katika shughuli zangu nimekutana na watu mbalimbali maarufu katika fani tofauti. Nimekutana na watu wa fani za soka, muziki, siasa, utamaduni, kwa kuyataja machache. Wakati mwingine ninapata tabu kuandika yote kwakuwa ni mengi mno.

Miongoni mwa wanamuziki wanaonivutia ni Saida Karoli. Ni mwanamuziki mtulivu, huzungumza kwa tuo,staha na kila aina ya nidhamu.  Sisi tunachambua kama Karanga. Tunakukaribisha uje tuzichambue pamoja!...Siri ya ushindi ni mbinu na utulivu, kasi na viwango!

Pichani nikiwa na mwanamuziki huyo alipokuja kufanya matembezi na mahojiano katika chumba cha habari za kampuni ya New Habari(2006) Limited.
Kwa niaba ya wenzangu, Honorius Mpangala na Kizito Mpangala tunamtakia mafanikio mema. Wakati mwingine tutazungumza naye kwa kina. 
Tunamkaribisha Nyasa pia. 
 

©Markus Mpangala

No comments:

Post a Comment

Maoni yako