December 02, 2017

SOMO LA LEO: UKIMWI



"Wanaume na nyinyi muwe na maadili, wanaume wakubwa mnahisi labda wakubwa wenzenu wamechuja hawana ladha ile ambayo mngependa kuipata, kwa hiyo mnahamia kwa wototo wadogo, huu si mwendo mzuri, hawa ni watoto wetu, hili ni taifa la kesho," 

-Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza siku ya Maadhimisho ya Ukimwi Duniani.

No comments:

Post a Comment

Maoni yako