August 18, 2007

johari ya matumaini

nimeirudisha hii nikikumbuka nilipoanza kublogu, daaa imenikumbusha mbali sana nakesha nasoma mistari ya NDESANJO kila jumapili. Leo nimeisoma tena si unajua kuhifadhi ukipendacho

1 comment:

 1. Naam.. mara nyingi najiuliza nifanye nini ili nafsi iwe huru ikiwa haijawa huru?
  Jibu liko wazi ipe siku ya leo neno 'MAARIFA'bila shaka unaweza kupata jambo kwa kulitafakari neno hilo.

  'MAARIFA' basi tafuta muda wa kujiweka sawa ili uhimili maarifa hayo maana mengine ni mazito mithiri ta miamba...

  Je kujiweka sawa kama huku mpaka tuende Jeshini??????????
  kazi kwao watakaojiunga na Chuo kikuu kuanzia mwaka 2010 maana Serikali imepitisha uamuzi watakaojiunga elimu ya juu watalazimika kupitia 'DEPO'.

  ReplyDelete

Maoni yako