November 05, 2008

kunoga tu

9 comments:

  1. hapo nimefika na siku hiyo walitukataza tusipite kwani kuna mtu aliliwa na mamba ni kweli au nimekosea si Manda hapo

    ReplyDelete
  2. kumbe mmezoea kuwadanganya watu eti nyasa kuna mamba sana. mbona huko kwenu kuna MATEKENYA SANA/funza halafu wanyasa hatusemi ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  3. mmh umenikumbusha matekenye huko nyasa ndo kwenyewe. si nilikuwa huko mwaka jana wee bwana usiombe

    ReplyDelete
  4. NAPAFAHAMU NYASA, HASA KULE KWENU KUNA MATEKENYA SANA. LAKINI NILIPOFIKA Lundu sijaona kitu kama hicho ila huko kwenu Lundo na Lipingo balaa sana. na huko kingirikiti na litapwasi????

    ReplyDelete
  5. sasa kwa nini hutaji jina lako maana unaonekana kuijua kweli nyasa yalikupata mafunza nini na huko LITAPWASI naona unakupenda kweli

    ReplyDelete
  6. Huyu bwana asiyetaja jinalake si mzalendo japokuwa ni mnyasa,bwana Mpangala tuwekee na masangalafu na mbelele.

    Kwa kweli mie mnanifurahisha sana tena nesu,hakiyabodo,nipo huku usa kwa huyo bwana ammbaye anashabikiwa na Twz.Wasifikirie kuwa watapata pesa za bure.Wanashindwa kuandamana kupinga ufisadi,halafu wanaandamana kumshabikia Obama!Kwa taarifa yao,huyu si mwafrika au Mtz,bali ni Mmarekani mweusi,wala hana pesa za kuleta Bongo,pesa ni za wamarekani wanaolipa kodi.

    Nahisi kuwa wtz wanafikiri kwa huyu bwana kuwa rais labda watapata nafasi ya kupata ajira huku,mimi naona hali ya huku,nchi hii inasheria zake-kwa hiyo suala la dezodezo wasahau kabisa.

    Mpangala kama una matekenya basi ingiza miguu kwenye mchanga wa nyasa,yatakufa-yaani huitaji lusungulu.

    ReplyDelete
  7. Blog yenu inanikumbusha sana huko kunyumba,mwakani lazima nije nyasa wakati wa msimu wa mbasa,ngumbu,sipa.

    Mpangala,vipi tundovi nato tupatikana magono aga/au hangu jivili?

    ReplyDelete
  8. We dadangu Yasinta,mimi nilikwenda Liituhi,mara ya mwisho ilikuwa 1997.Niliona somba tu,matekenya hayakuwepo labda siku hizi.Ila ungonini kama Litapwasi na Lipokela,Luhagara na Lingusenguse,huko matekenya ndio kunyumba yaki.

    Ila leo nimefurahi sana kupitia blogu yako hii.

    ReplyDelete
  9. Kama sio uwongo ni nini? Eti ypo USA wakati upo BONGO ha ha ha Mchayano ngonyani kazi kweli kweli matekenya lusungulu nikukamwili

    ReplyDelete

Maoni yako