November 01, 2008

mto ruvuma unaotenganisha TZ na Msumbiji

hapo sawa tu. KARIBUNI RUVUMA, WEKEZA UFAIDIKE SASA.

7 comments:

  1. mimi naishi Mpani kabisa na ni rahisi sana kwenda Msumbiji na humo mtoni huwa navua samaki KARIBU wewe pia

    ReplyDelete
  2. oyaa acha ngebe mtu wangu, kingoli, litapwasi na KINGIRIKITI kuvua samaki wapi na wapi mtu wangu. Mbona unapiga mluzi wakati unatafuna karanga mwanawane????
    ha ha ha hapa hadanganywi mtu ha ha ha nikuambie kitu HOLA hiyo anza upya, kweli unajua kuvua samaki?? nitajie majira ambayo samaki hupatikana sana mtoni hapo???

    ReplyDelete
  3. Haya, Ni mbelele,mbelele na mbelele
    pia kambale

    ReplyDelete
  4. wewe acha mazingaombwe hayo, unajua kuvua nimesema? nitajie mfumo/mkondo ambao unapatikana samaki hapo, sema fasta fasta kabla jini hajapanda!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. mitego na pia ndoana

    ReplyDelete
  6. MWENYE BLOGU KAWAULIZA MAJIRA/MIKONDO YA KUVUA SAMAKI SIYO HABARI ZA NDOANO NA MITEGO. JIBUNI SWALI

    ReplyDelete
  7. Karibuni Nyasa: Mto Ruvuma Unaotenganisha Tz Na Msumbiji >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Karibuni Nyasa: Mto Ruvuma Unaotenganisha Tz Na Msumbiji >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Karibuni Nyasa: Mto Ruvuma Unaotenganisha Tz Na Msumbiji >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK

    ReplyDelete

Maoni yako