November 01, 2008

kama hujui njaa usile leo na kesho= milele

kilimo cha mpunga wala hatushindwi
WEKEZA RUVUMA ILI UFAIDIKE
karibuni nyasa

5 comments:

 1. Eeh eeh jamani kulima mpunga sio mchezo yaani umenikumbusha kila siku nilikuwa nasema naumwa ili nisienda madimbani. ila wali, ubwabwa nilikuwa wa kwanza kula

  ReplyDelete
 2. Mmm nakumbuka nilikuwa kidato tena kile cha tatu yaani DINGI akatekwa na KIMADA fulani basi nyumbani apeche alolo, mahaba yake yakahama kwa mama, akawa anaBANJUKA kwa kimada... mambo hayo ha ha ha ha ha, ikabidi nizame madimbani na shangazi kulima tangu saa kumi na mbili asubuhi hadi saa tisa. Niliamua hilo ili nipunguze mawazo lakini shangazi ndiye akaja kulipa karo shule kidato. mmm zamani maisha ya zamani zamani zamani zamani zamani. mambo yalikuwa pale kijiji cha NGINDO si unakijua kile kijiji? pale alikuwa akiishi mjombangu Mwalimu Msumba. duuh machungu halafu mafunzo sana au vipi?

  ReplyDelete
 3. Pole sana unajua mimi sipendi kulima. Eh NGINDO aise umenikumbusha tulikuwa tunakwenda kule toka Lundo mpaka Ngindo kwenye michezo ya kato. Halafu pale mtoni Lwika eeh bwana acha tu. Kula miwapia

  ReplyDelete
 4. mmm unakumbuka mambo ya Lwika??? Ngindo kwa kilimo hawakamatiki

  ReplyDelete
 5. yaani mwee raha sana kupata kumbukumbu kama hiii shukrani

  ReplyDelete

Maoni yako