October 09, 2008

habari ndiyo hiyo

hapa hakuna la mnadi swala wala sauti za kanisa, mchezo ni kujiburudisha, mchezo kufurahi yanini kujibana wakati muda wenyewe robo eti tutakwenda peponi mmmm

5 comments:

  1. lakini amesahau ya kwamba mchezo mchezo huleta hasara. ngoja kwanza akitoa hayo meno yote labda atajifunza kitu.

    ReplyDelete
  2. na yale ya kwenye Girretes world sport je? Nimegundua una wivu ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  3. wivu wa kutoa meno au kwa nini umejiweka anonymous basi. Sina tabia ya wivu kabisaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. meno yatatokaje wakati yapo mdomoni wewe dadangu vipi. au hujui kuendesha hii kitu ha ha ha ha ha ha ha au hujui madoido ha ha ha ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
  5. kwa sababu akianguka hapa ataanguka na uso kwanza aiza meno au pua vitaumia. Kumbe we ndo hujui hi hi hi hi mwenga

    ReplyDelete

Maoni yako