October 31, 2008

kuweni makini na usafiri wa meli kipindi hiki

nilisema awali kwamba katika miezi ya julai hadi katikati ya novemba ni kipindi cha dhoruba katika ziwa nyasa kwahiyo wale wasio na uzoefu wa safari za meli wanapaswa kuelewa hili ili watumie safari za magari. kwasasa dhoruba ni kubwa si kidogo tazma hiyo picha vema.

6 comments:

 1. Inaonyesha ni kipindi kizuri cha wasio na uzoefu kufanya mazoezi ya kusafiri katika dhoruba au ya kutapika.AU?

  ReplyDelete
 2. Kweli tunaotapika tuache kusafiri na meli sasa tutafikaje huko kula hizo somba= samaki

  ReplyDelete
 3. kaka nitakuja nyasa,napenda sana kuishi katika manzingira hayo.

  ReplyDelete
 4. Rastaman Live up!
  Higherman don't give!

  kingman live up!
  bigman don't give!
  *********

  Africa unite!!
  coz were are moving from Babylon, to see the unification of all africa
  ******
  Bufalloo Soldier Dreadrock rasta?
  stolen from africa, bought to america.
  *******

  Rasta Luihamu kaka umerejea baada ya Ndesanjo kuomboleza kwa sara za kufa na kupona??? hee kumbe ilikuwa sababu yeye siyo Rasta??? ha ha ha aha nakumbuka sikuanza kublogu enzi zile nilikuwa nawasoma sana kaka Luihamu.
  Sasa!
  PAMOJA DAIMA!!!!!

  ReplyDelete
 5. EBU ondoeni hiyo RE hapo katika WERE ili isomeke WE are!!!

  ReplyDelete

Maoni yako