November 05, 2008

Lini mliacha ubaguzi nawashangaa sana

acha niwashangae sana kwa kumchagua huyu jamaa ambaye mnadai waafrika hawana lolote? au kwakuwa mlimsomesha wenyewe? ninyi waafrika huku mnashangilia kuwazidi wamarekani nawashangaa sana? huyu atakuja kuwafundisha kuandika hotuba za Marais wenu? atawafundisha kuhusu kuwajibika na kushtaki wevi? Je unaposhangilia kumzidi Mmarekani mwenyewe unamaana gani??? poa lakini YES WE CAN, CHANGE HAS COME IN AMERICA. hONGEREA sana ewe mwana wa mvuta tumbaku wa KISUMU i love u so much my brother maana ile kujiamini kwako kumenipa somo kali au vipi Obama mwanawane
PAMOJA DAIMA

6 comments:

 1. hata mimi nawashangaa hapa kwetu news room meno 32 ya kila mtu yako nje.

  umepotea Markus ulikuwa wapi nyasa nini?

  ReplyDelete
 2. waambie wakamfundishe JK kuandika hotuba wala wasisingizie eti maadili ya uandishi wa habari yanakataza mapinduzi ya maendeleo ya nchi

  kaka nipo niliumua mguu ila sasa nipo gado na bado nawakilisha maofisini, kwa masela mapaka kwenye mageto AFRIKA yote

  ReplyDelete
 3. wote mpo hapo hapo bongo mnashindwa kujuana hali kazi kweli.

  Kilichobaki sasa tumwombe mungu ampe Obama nguvu ili afanye kazi nzuri. OBAMA OYE

  ReplyDelete
 4. kwahiyo hata asipokula chakula amsubiri tu mungu amnguvu ha ha ha ha

  ReplyDelete
 5. Ukweli ni kama aliouimba Peter Tosh kuwa "everyone wants to go in heaven but no one wants to die". Viongozi wetu hawawekezi kwenye kazi watakazo kufanya. Ukifuatilia maandalizi ya hawa watu kabla hawajafikia kuwa walipo si kitu lelemama. Si suala la kuamka tu na kusema wataka kugombea. Wanakuwa na ufuatiliaji wa miaka, uelewa utokanao na ufuatiliaji huo ndio unaowafanya waweze kutetea kile waaminicho. Na pia siasa za wenzetu huku ni za "commitment" kwelikweli na si kulindana. Yote juu ya yote sherehe za nyumbani zilizidi kipimo. Nilitaraji Kenya watoe Jengo la mikutano na kulipa jina lake ama Highway lakini sio kuchukua day off. Tena wanasherehekea yasiyowahusu wakati kinamama na watoto wa Kongo wanatembea kutwa kuchwa kusaka sehemu ya kuegesha miili yao.
  It's sick

  ReplyDelete
 6. KARIBU SANA NYASA MZEE WA CHANGAMOTO.
  kwanza nakukaribisha na nashukuru kwa kunitembelea kaka.
  tuko PAMOJA DIMA

  ReplyDelete

Maoni yako