July 27, 2008

Jamani monile,habari yinu

salama kwa wanyasa walionikosa kwa juma zima.nawapenda sana

4 comments:

 1. Anonymous27 July, 2008

  bahati mbaya nilikuwa nataka kukufuata tena nilishakata tiketi

  ReplyDelete
 2. Siku zingine uwe unaaga!
  Nilishaanza kutafuta njia zingine kuanza kukutafuta umepotelea wapi, tumekumiss sana na tunashukuru upo salama na sasa umerudi kijijini tuendelee na kujirusha.

  Upendo daima!

  ReplyDelete
 3. markus mpangala28 July, 2008

  Kweli nakiri kutoaga lakini mambo tu ya hapa na pale yanasababisha kukosekana.Hata hivyo bado nipo hapa kijijini wala hakuna wa kuzuia kwani najua utamu wa kujimwaga kwa raha zetu shughuli kama hizi.
  Nimekosa natumaini nimesamehewa au siyo ndugu zangu.

  ReplyDelete

Maoni yako