July 16, 2008

kumbukumbu unaionaje hii

ni vema kujivunza mengi lakini siyo kujua kila kitu unatakiwa kuwa bingwa wa ubunifu,mtumwa ndani ya jamii mapinduzi kila siku.Wewe ukipata mia moja,sifuri atapewa nani?...Kumbukumbu tu hii

1 comment:

  1. safi sana natamani kuhamia huko ila naogopa kama kunatokea mafuriko ndo itakuwa mwisho wangu au labda mamba ha ha ha hakuna mamba si ndio

    ReplyDelete

Maoni yako