July 19, 2008

Machweo na uzuri wake nyasa

Jua lipo magharibi kabisa.Jioni njema na mapenzi mema kwa watu wote...karibuni nyasa

2 comments:

  1. Anonymous19 July, 2008

    Huko Nyasa karibu watu wote watahamia haku maana mmmhhh angalia hapo jua ndo linazama halafu angalia maji yanavyometameta. Kwanza nilifikiri kulikuwa peponi. Ngoja niishie hapa isije wengine wakakosa cha kusema

    ReplyDelete
  2. utamu unahitaji hamu kwani kuishi nyasa nako kunahitaji hamu au uwongo wanazuoni wangu na wanyasa wangu niwapendao sana

    ReplyDelete

Maoni yako