August 14, 2008

kama kawaida yetu kuvua

hapo ni kama kawaida na shughuli za nyasa yetu kuvua kwa mitumbwi.umeona hiyo au haionekani

1 comment:

  1. Sasa naamini kulikuwa na kaka mmoja aliomba kazi ya aina hii. Alisema ana misuli ni kweli kabisa hii kazi unahitaji misuli sana na kama huna basi utapata tu

    ReplyDelete

Maoni yako