September 26, 2008

nchuwa/bao.........................jaza jina unalolijua

2 comments:

  1. unajua hapa umenipeleka mbali kweli hii nimeicheza sana wakati wa ujana wangu mwaka ule 1947 mmh jamani Afrika raha kweli mnakutana na kucheza nchua na hapo gumzo kibao sio kama .....malizia wewe

    ReplyDelete
  2. Eti bwana naomba unikumbushe hiyo ile sheria ya kucheza inakuwaje tena nitashukuru sana kwani ninayo nchua hapa nyumbani lakini nimesahau vipi sheria inakuwa.

    ReplyDelete

Maoni yako