October 18, 2008

kunoga+utamu+uzuri = nyasa

jambo habari gani nzuri salama nyasa yetu. sikiliza habari kutoka kwetu nyasa ziwa nyasa uzuri wetu bora......

7 comments:

 1. kweli mnyasa mwenzangu kunoga uzuri nyasa kuzuri bwana

  ReplyDelete
 2. nyasa kutamu, nyasa uzuri wake na kunoga sana sijui kama nini ebu sema wewe kama unajua aina za utamu ...............

  ReplyDelete
 3. samaki wa kubanika/kuc homa na chumvi nA pilipili (kapili) halafu bila kusahau watu wote ni marafiki yaani wote wanaongea na wote raha hiyo

  ReplyDelete
 4. YAP MADHARI NZURI SANA.Natumaini safari yangu december nitabahatika kukanyaga hapo.

  siku njema kaka

  ReplyDelete
 5. karibuuuuuuuuuuuuuuuuu sana nyasa, na mkoa mzima wa Ruvuma hata ukitaka kuwekeza karibuuuuuuuuuuu sana

  ReplyDelete
  Replies
  1. nyasa ni nzuri wala si uwongo

   Delete
  2. nyasa ni nzuri wala si uwongo

   Delete

Maoni yako