October 28, 2008

unanipenda?? unanitega?? Je hivi utaweza??

ukinipenda haya utaweza? au unanitega kwamba unanipenda? aaa karibuni sana yaani bado tupo tupo sana nyasa, bado tupo tupo kwanza.

4 comments:

 1. yaani hapo umenipeleka mpaka Lundo, halafu mpaka Kingoli ugali wa muhogo na samaki halafu naona hapo pembeni ni (likolo la nanyungu) =mboga ya maboga.

  Kutwanga ukimaliza hapo unaonekana kama umepaka poder. Nilikuwa nayapenda sana maisha haya. Ni kweli bado nipo nipo tu kwanza. Haya utamaduni huo

  ReplyDelete
 2. mchayano ngonyani17 November, 2008

  huo ugali wa mayau na mbelele ya kunyanya,mbona utajiuma kidole!

  Maisha ni hatua,hata Roma haikujengwa siku moja,bora huko nyasa kuna muhogo,lakini kuna watu duniani hapa wanakufa kwa njaa,ni vema kumshukuru Mungu kwa kile anachokujalia,lakini najua ugumu wa maisha haya ya kutwanga mayau!

  ReplyDelete

Maoni yako