November 17, 2008

kazini hakuna matata

kuvua samaki ndiyo zetu, ni kazi zetu ni shughuli zetu wala hatuachi kufanya hivyo. KARIBUNI NYASA

2 comments:

  1. Tiwili mundila, weka chakula kingi pia usisahau pombe.

    ReplyDelete
  2. chakula kipo hakuna njaa maana walevi wavivu wa kula kwahiyo tunatayarisha hasa kwa wasiolewa. sasa kama wewe na kaka Simon mtajijua sana mwaka huu hakuna kulewa BIA wala Konyagi huku.

    ReplyDelete

Maoni yako