Siyo kila NDIYO kiundani maanake kuna NDIYO zingine huambatana na utani, isiwe bendera fuata upepo halafu kesho unakosa mwelekeo!!!! unafikiria nini unapotazama hii picha kwani wewe "hoteli" yako ipoje nyumbani, je ni kama hii???? naacha sisemi mengi
Nadhani tukibadilika na kuziita hizo VYUMBA VYA MAPUMZIKO (Restroom) pengine itaongeza thamani zaidi ya sasa tunapoviita vyoo. Hakuna sehemu mwanana ya kutafakari kama huko, lakini kwa mwendo huu!!!!@@#$%% Sijui
Wamejenga 'tuvyumba' tudogo sana. Sehemu hii mie huwa napenda kujidai na kujidadafua kwa marefu na mapana. Katika sehemu ya kuipa kipaumbele katika kuinadhifisha basi maliwato kunaongoza kwa mtazamo wangu, tofauti na sehemu nyingi za kwetu ambako kumefanywa hit and run.
mmh hapo kazi ipo. tena kubwa tu
ReplyDeleteNadhani tukibadilika na kuziita hizo VYUMBA VYA MAPUMZIKO (Restroom) pengine itaongeza thamani zaidi ya sasa tunapoviita vyoo. Hakuna sehemu mwanana ya kutafakari kama huko, lakini kwa mwendo huu!!!!@@#$%% Sijui
ReplyDeleteNikosoe nisikosoe?
ReplyDeleteWamejenga 'tuvyumba' tudogo sana. Sehemu hii mie huwa napenda kujidai na kujidadafua kwa marefu na mapana. Katika sehemu ya kuipa kipaumbele katika kuinadhifisha basi maliwato kunaongoza kwa mtazamo wangu, tofauti na sehemu nyingi za kwetu ambako kumefanywa hit and run.