ninakumbuka enzi zile tukilima mpunga, ekari kibao na shangazi yangu pale Ngindo, yaani ilikuwa tka asubuhi saa moja hadi saa kumi na moja jioni. Duuh kwa mwendo wa kuchoka na kulegea kila kitu. nipumue siku hizi huuuuuuuuuuuuuuuuuu nalima kwa kompyuta
aise huko mliko inaonekana mnalima kila kitu vipi kuhusu smaki nchanga hakuna?
ReplyDelete