December 14, 2008

hureeeeeee ayeyaaaaaah

ebwana ndiyoooooo, kichapo walichopata Sudan nyumbani kao hawata kisahau kwani ni jambo wanalolishangaa Tz kuibuka kinara. Mabao 2-1 ugenini mbona SHWANGA TU

1 comment:

  1. Sudan wamezabwa kama wamesimama. yaani ni full mababo tena kwao. hureeeeeeee ayeyaaaaaaaa weweeeeee mambo iko hukuuuuuuuuuu

    ReplyDelete

Maoni yako