December 13, 2008

njoo jiunge nasi, usihofu


kwani unatuonaje, angalia tulivyopendeza na tuna furaha kani vipi unashaka gani nasi. Tunafurahi kama tunavyotuona. Lakini hatuna uhakika siku ya kesho itakuwaje na tutakuwaje.

2 comments:

  1. mimi nakuja ila mimi nataka tucheze mpira(lede ledesta) si mnajua. Ila nitawasaidia kuonsha hivyo vyombo huwa napenda sana kuwasaidia watoto wanzangu kazi.
    je? tutacheza au ndo kazi tu?

    ReplyDelete
  2. karibu mtwetu, maana lede ledesta ni mchezo wetu mtamu yaani wala hatukosi kama tunavyohususdu ligambusa.

    ReplyDelete

Maoni yako