December 10, 2008

wanablogu karibuni ndani

jamani wana-shajara za mtandaoni karibuni ndani. atakayepuuzia shauri yake. karibuni sana, mambo ndiyo hayo

7 comments:

 1. ha haha ha haha usibishane na mwenye JAWABU ha ha ha ha ha ha

  ReplyDelete
 2. meng´lu yako ha ha haaaa chabwina lepe

  ReplyDelete
 3. Yaani Mr Markus umeniacha natokwa na udenda baada ya kuwaona hao viumbe.Hivi ni vitu adimu sana maeneo haya.

  ReplyDelete
 4. Mimi wananitisha!Mbona hawajafumba macho?:-)

  ReplyDelete
 5. ha ha ha h kaka Simon unasema wanakutisha? mmm lakini wale wanaokupa ofa za utamu halafu wanaungana na mkuu wao wa ofa{unamjua sana} je? mmm mbona BIA unakunywa wakti imefungwa hawajaweka VIAGRA mle ndani au? ooooh nimekumbuka haya macho ni lazima yakutishe maana wanajua utamu unatafutwa kwahiyo ukiona macho tu unasepa mkuu ha ha ha ha ha ha ha haina kwere

  ReplyDelete
 6. dada Yasinta usilie umeyataka hayo kama vipi POLE sana lakini chabwina sana nigana kukombwisa kunyumba kunyumba kunyumba bwana.

  kaka Chahali hapo nawe Pole maana ndiyo mambo ya kiafrika haya kwani hapo Uskochi sina hakika kama KUMBIKUMBI wanapatika achilia mbali dagaa au ndiyo yale mawazo waafrika tunakula wadudu ha ha ha ha ha PAMOJA DAIMA mkuu haina kuremba

  ReplyDelete
 7. Hivi Markus una nini wewe lakini? Mbona huchoki kuchokonoa watu hamu zao?
  Mi ninapenda samaki sana, tena mno. Ongeza matunda na mboga yoyote ya majani, kwisha kabisa habari yangu!
  Mi nakuja kushinda hapa kupata hasira ya kwenda kununua vyakula kutokana na blogu yako unayoijaza mapochopocho.
  Kweli umenipata rafiki yangu!

  ReplyDelete

Maoni yako